Anatafuta mume

Status
Not open for further replies.
Awe Muislam
Jina lenyewe ni Sauda Rajabu, na limeshaakisi ni muislamu, na waislamu tunakazaaa balaaa hili sio ombi ni lazima awe muislamu, na hata kama ukisema utabadili dini siku hizi huwa watu wanajidai wanabadili harafu wakishaoa badae wanatafuta sababu wanarudi walipotoka. Hii ni military order lazima awe muislamu na tena mwenye hofu ya Mungu, na no alchohol, no cigaratee, no cha arushaa, no vimada.Wanaotaka awe mke wa pili wasubiri maombi yao utawekwa kwenye fourth selection. Over........ 💪💪💪💪💪💪😁😁😁
 
Duh.... Mkuu samahani basi

Mimi nilitaka nimbadili, kumbe hata mimi kubadili ili nimbebe siruhusiwi

Ndukiiiiii.........
 
Bado unatumia hisia kujibu! Atakayesoma hii comment atakuona jinsi gani hauna busara ok anyway wachana na maswala mengine ya nguvu za kiume,na ukhanisi turudi kwenye swali ,
Vipi ana bikra dada yako?
Anaetafuta mwenye bikra na yeye ni lazima awe hajawai, na lkn kakuambia kwa karne hii mtoto wa kike kutokuwa na bikra ni jambo la kawaida, Sauda hana wala dada ake hana,ukitaka majibu mengine zaidi mfuate pm , hapendi kukasirishwa sana Sauda kama hivyo 🙏🙏🙏🙏
 
Sjajua una maana gani ila ni kuwa jina jijua mimi binafsi na ndo maana nikamwambia kama ana bikra nipo tayari kuoa !

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Sjajua una maana gani ila ni kuwa jina jijua mimi binafsi na ndo maana nikamwambia kama ana bikra nipo tayari kuoa !

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Niliongea lugha ya kiutuuzima hapo na wewe umejibu kiutuuzima kwa kusema unajijua mwenyewe umeeleweka hapo. Ngoja akitoka msikitini atakujibu vizuri zaidi InshaAllah.
 
Hiyo hesabu ya faster ni wachache wa kuipiga Aiiiseeeee!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…