Sijakuelewa, kwamba pesa yake feki au ?Hamna kitu hapo, hakuna cha bosi wala nini ni usumbufu tu! Hiyo pesa ya mkopo inamuwasha washa bosi wako. Aendelee kula kitimoto na bia baridii tu.
Just a joke mkuu, wewe si umesema unakula kitimoto na boss!Sijakuelewa, kwamba pesa yake feki au ?
Ndio ni pesa ya mkopo vipi ni haramu?
Unaposema hakuna kitu unamaanisha nn