Anatafuta Pharmacy inayouzwa Dar Es Salaam

Anatafuta Pharmacy inayouzwa Dar Es Salaam

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Wakuu, kuna mtu nipo naye hapa, anatafuta pharmacy ya kununua ndani ya jiji la Dar.

  • Iwe na usajili,
  • Iwe na mauzo mazuri (250k na kuendelea kwa siku)
  • Offer yake ipo vizuri tu,
  • Kama unayo au una connection nayo, njoo inbox,
  • Boss yupo straight hana njaa kabisa
Mawasiliano
0764 803 515 Normal text n whatsap pia
 
Mimi nauza min hardware (plumbing and sanitary ware) mwenye kuhutaji tuwasiline.
 
Wakuu, bado haijapatikana,
Boss hela ni nyingi, leo tupo tunakula kitimoto, ila bado anasisitiza
 
Hamna kitu hapo, hakuna cha bosi wala nini ni usumbufu tu! Hiyo pesa ya mkopo inamuwasha washa bosi wako. Aendelee kula kitimoto na bia baridii tu.
 
Hamna kitu hapo, hakuna cha bosi wala nini ni usumbufu tu! Hiyo pesa ya mkopo inamuwasha washa bosi wako. Aendelee kula kitimoto na bia baridii tu.
Sijakuelewa, kwamba pesa yake feki au ?
Ndio ni pesa ya mkopo vipi ni haramu?

Unaposema hakuna kitu unamaanisha nn
 
Back
Top Bottom