Anatafutwa anayeuza au mahali wanapouza submissible water pump 1.5hp na capacitor yake ya ndani

Anatafutwa anayeuza au mahali wanapouza submissible water pump 1.5hp na capacitor yake ya ndani

Murashani GALACTICO

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
2,511
Reaction score
5,390
Nimekuja hapa kuuliza bei na mahali wanapouza SUB MISSIBLE WATER PUMP 1.5HP maana yangu imeungua CAPACITOR YA NDANI

Nipo MWANZA

images (11).jpeg
images (16).jpeg
 
Weka location ya duka lako au unauza bei gani pump na capacitor hapa jukwaan unaweza nishawishi mimi na watu wengine wanao hitaji
 
Nimejiuliza kapasta ndiyo nini?Nikajuwa labda ni kamzigo kadogo,Kumbe ndiyo Capacitor.
 
Back
Top Bottom