Anatafutwa binti mfanyakazi wa ndani

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Familia ya Dar es Salaam yenye kuthamini utu inatafuta mfanyakazi wa ndani wa kike mwenyewe umri mwisho miaka 22 kwaajili ya kazi za ndani.

Mfanyakazi ataishi vizuri na dada mwenye nyumba kwani anathamini utu.

Mfanyakazi azingatie haya awe mchamungu.

Mawasiliano: WhatsApp 0623745875
 
Mshahara kiasi gan?


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…