Anatafutwa Binti mwanadar es salaam asiye na halaka ya ngono

Anatafutwa Binti mwanadar es salaam asiye na halaka ya ngono

Safi sana wote wangekuwa hivyo jiji la dar tungekuwa mbali. Bigup man.
 
kha ......Watu mme MIZENGO. aaarrrghhhhhhhhhh.........:frusty::frusty::frusty:
 
Acha uongo! Inawezekana sana 2!inategemea na nyie wahucka km mna hofu ya mungu au vipi!
Mfano,Mi na mtarajiwa wangu hatujawahi kikutana na wala hatuna mpango huo till ndoa

ku-onja-na muhimu, lasivyo mtauziana mbuzi kwenye gunia!
 
Back
Top Bottom