Anatafutwa mhasibu

Anatafutwa mhasibu

KasomaJr

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
367
Reaction score
141
Habari wana jf; anatafutwa mhasibu mwenye uzoefu na anayeweza kuongea kiarabu vizuri.
Kwa maelezo zaidi awasiliane na mimi kwa inbox.
 
mmh kuna kijana humuhumu kweny hili jukwaa ana cpa,masters ya uhasibu hana ajira labda mu pm!
 
Sasa mkuu, kwanini usiweke kila kitu hapa? Kuna agenda gani huko chemba (inbox)?
 
Sasa mkuu, kwanini usiweke kila kitu hapa? Kuna agenda gani huko chemba (inbox)?

Kiongozi unaweza kuwa sahihi, lakini sometime ku disclose personal information kama Phone number na emails sidhani kama ni sahihi unless kwa special need. Hakuna agenda yoyote ya siri hapa, kama mtu ana sifa na anadhani yupo vizuri wala sidhani kama kuna shida yoyote.
 
Habari wana jf; anatafutwa mhasibu mwenye uzoefu na anayeweza kuongea kiarabu vizuri.
Kwa maelezo zaidi awasiliane na mimi kwa inbox.
Mkuu, hivi Uhasibu wa siku hizi ni kuongea Kiarabu au ni kuandika ki-IFRS?!
 
Back
Top Bottom