Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
1. Nimepewa kazi ya kumtafuta mining Sorveyour mwenye uzoefu usio pongua miaka 2 akiwa kwenye mining industry.
2. Nikimpeleka mimi hatokua na usaili kwasababu ninaaminiwa na General Manager.
3. Atafanya kazi kwenye mgodi mdogo na mpya ambao ndio unaanza.
4. Mshahara hautopungua 1.5M (itategemeana na atakavyo jiuza na mimi nitakavyo muuza) with fully accommodation kula na kulala.
5. Kwakua atakua ni mtu wa kwanza kwenye kada hiyo, atahusika na kupendekea vifaa ama wakati mwingine ununuzi wa vifaa na mahitaji ya kitengo chake.
6. Na kwakua mgodi upo kwenye development (ila mambo yetu yaleeeee tayari yashaanza kuonekana..😋).
Sharti la mimi kumpeleka ni kwamba lazima anilipe 1,000,000 na hii sio rushwa bali ni malipo ya udalali kwasababu sihitaji matashtiti.
7. Mwenye uhitaji aweke namba yake PM nitampigia (labda nitamfanyia usahili mimi mwenyewe)