Awe mzoefu na kazi iwe na good quality.
Movie ni kuhusu bibliography ya kiongozi wetu mpendwa.
1. Maisha ya Kolomije
2. Safari ya Mwanza kwa mama Kazimil
3. Matokeo ya mtihanivwa IV
4. Chuoni
5. Mbegani
6. Chuo cha Ushirika
7, kumpiga mzee Warioba
8. DC
9. RC
10 Julia kanisani mara ya kwanza
12. Julia kanisani mara ya pili.
Producer awe mzoefu na kazi yenye ubora na standard