Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

We jamaa ni road trips,mzee wa adventure,mali zako zinapatikania porini!

Lazima uwe jitu la mirada minne kama sio Askari wa TANAPA au gem!!?
Mkuu, huko kote sipo .. ni kweli kabisa zamani nilikuwa mtu wa masafa na nilikuwa namudu maisha yangu.. ila mambo yamebadirika sasa mama kaupiga mwingi hadi umetoka nje kwa upande wangu sasa hivi nalimia meno tu kaka
 
Back
Top Bottom