Anatafutwa mtu wa kuuza Duka la dawa

Anatafutwa mtu wa kuuza Duka la dawa

DearJohn

Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
33
Reaction score
5
Kuna duka la dawa liko maeneo ya Kigamboni ,wanatafuta mtu wa kuuza katika duka hilo. mawasiliano 0732118825
 
Hebu nyoosha maelezo yako,dawa za binadamu,mifugo au mimea?
Sio mbaya pia ukatoa na offer yako
 
nashukuru kwa kunisahisha ila ni duka la kuuza dawa za binadamu.
 
Back
Top Bottom