ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Kwenu wanajamvi!
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Ni rafiki yangu sana, mdada ana miaka 36, ana watoto wawili, anatafuta mwanaume mwenye upendo na mapenzi ya kweli, upweke umemchosha. Yeye ana kazi yake nzuri tu, ana kausafiri kake na kamjengo kakujisitiri, so kimaisha yuko poa tu anachomisi ni mwanaume mwenye upendo na mapenzi ya kweli.
Sifa za anaetafutwa:
1. Awe mkristo mchanga Mungu na mwenye hofu ya Mungu
2. Awe tayari kupima VVU
3. Awe na mapenzi ya kweli na mwaminifu
4. Asiwe MUME WA MTU but kama anawatoto anakaribishwa
5. Asiwe mvuta sigara wala mlevi (bt anaweza kuwa anakunywa lkn sio kulewa talalila)
6. Awe mchapakazi/mtafutaji/mhangaikaji
7. Awe ni mwanaume kamili/lijali
Kwa mwanaume aliye serious ani-PM nami nitamuunganisha na mhusika
Nwasilisha!