Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ram naomba uniPM contact za huyo bi dada, nadhani naweza kumuondolea upweke.
Kwakuwa wewe si mhusika nadhani si muhimu sana kukutumia wewe contacts zangu.
Kwa niaba ya shosti wako tafadhali fanya ze needful haraka iwezekanavyo!!!
Sifa za anaetafutwa:
1. Awe mkristo mchanga Mungu na mwenye hofu ya Mungu
2. Awe tayari kupima VVU
3. Awe na mapenzi ya kweli na mwaminifu
4. Asiwe MUME WA MTU but kama anawatoto anakaribishwa
5. Asiwe mvuta sigara wala mlevi (bt anaweza kuwa anakunywa lkn sio kulewa talalila)
6. Awe mchapakazi/mtafutaji/mhangaikaji
7. Awe ni mwanaume kamili/lijali
Kwa mwanaume aliye serious ani-PM nami nitamuunganisha na mhusika
Nwasilisha!
Baba Enock, wanaume wapo tatizo ni kwamba wengi wao hawajatulia, sio waaminifu n.k

kazi uliyojitwisha ni kubwa, najua kadhia zake. Utajibu maswali ya kukera mpaka basi. Kila la heri kwa huyo rafiki yako.Duh! Nitajaribu kumwambia
Baba Enock, wanaume wapo tatizo ni kwamba wengi wao hawajatulia, sio waaminifu n.k
Mtu mzima anaanzia umri gani?
mtu mzimz nikuanzia miaka 18. Kama ubasifa hizo jichanganye ukale uroda
Kwenu wanajamvi!
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Ni rafiki yangu sana, mdada ana miaka 36, ana watoto wawili, anatafuta mwanaume mwenye upendo na mapenzi ya kweli, upweke umemchosha. Yeye ana kazi yake nzuri tu, ana kausafiri kake na kamjengo kakujisitiri, so kimaisha yuko poa tu anachomisi ni mwanaume mwenye upendo na mapenzi ya kweli.