Anatafutwa mwanamke 35-45 years

Anatafutwa mwanamke 35-45 years

Kutafuta mwanamke kwa ajili ya mahusiano tena hutaki ndoa kisha unasema asiwe tegemezi kwako ni kupoteza muda wako tu.

Unaenda kuuliza bikira kwenye wadi ya labour. Haviendagi pamoja hivyo vitu kamwe!
Ena kambaku, ghwajugha
 
Habari, natafuta mwanamke wa umri 35-45 , kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi na si ndoa. Niko Dar es salaam. Karibu tupate muda wa kufurahia maisha pamoja. Usiwe tegemezi!
Umeshapata usijali
 
Back
Top Bottom