BISLETT STADION
Member
- Aug 27, 2024
- 17
- 27
Anatafutwa mwanamke anayetaka kuolewa mwenye sifa zufuatazo,
Awe na miaka kuanzia 27 mwisho miaka 35. ASIWE NA MTOTO. ASIWE NA ANATUMIA DAWA YA KUFUBAZA.
Anaweza akawa nesi, mwalimu, banker, akauntanti, auditor, maketia, afisa habari, mchumi, mwanasheria, afisa ugavi, mkutubi, police, mwanajeshi, daktari wa binadamu, au daktari wa mifugo, bi shamba, injinia, mtunza kumbukumbu, au katibu mutahsi.
Mume wako mtarajiwa nipo, karibu kwa kuolewa na kuwa maisha ya pamoja.
Asante.
Kwa hiyo wewe una maana gani kusema hivyo? Jiheshimu basiii, toka lini mwanaume anaolewa?Mume uko tayari kuolewa??
mama ntilie hutaki ndugu husbandAnatafutwa mwanamke anayetaka kuolewa mwenye sifa zufuatazo,
Awe na miaka kuanzia 27 mwisho miaka 35. ASIWE NA MTOTO. ASIWE NA ANATUMIA DAWA YA KUFUBAZA.
Anaweza akawa nesi, mwalimu, banker, akauntanti, auditor, maketia, afisa habari, mchumi, mwanasheria, afisa ugavi, mkutubi, police, mwanajeshi, daktari wa binadamu, au daktari wa mifugo, bi shamba, injinia, mtunza kumbukumbu, au katibu mutahsi.
Mume wako mtarajiwa nipo, karibu kwa kuolewa na kujenga maisha ya pamoja.
Asante.
akishaolewa anaendelea kuitwa mume?Mume uko tayari kuolewa??
mama ntilie hutaki ndugu husband
Kwa hiyo wewe una maana gani kusema hivyo? Jiheshimu basiii, toka lini mwanaume anaolewa?