Anatafutwa Single Maza

Anatafutwa Single Maza

Marumeso

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2009
Posts
1,410
Reaction score
1,325
☆Awe na kazi yake ya kuajiliwa au kujiajiri

☆Asiwe na njaa

☆Asiwe na mtoto anaemtegemea

☆Awe huru asiwe na vidumu a.k.a madume wengine

☆Dini au rangi sio ishu

Single Mazaz Karibuni
 
"Single maza asiye na mtoto anayemtegemea" Single maza wa hivi...... labda awe mtu mzima au mzee mwenye miaka kuanzia 40 na awe alizaa akiwa na miaka 18 hapo utakuwa na uhakika kuwa mtoto wake atakuwa na umri wa kujitegemea.
 
Asiwe na mtoto anaemtegemea ili akulee wewe sio.

Masharti ka unatoa huduma kuhudumia kumbe unataka kuhudumiwa wewe. Dogo acha janja janja, usingo maza wala sio kilema au udhaifu kiasi uutumie kuwachapia. Kuna masingo maza wanajielewa Ile mbaya aisee na wala hawana njaa ya wanaume especially wanaume njaa njaa kama wewe.

Kwa taarifa yako Kuna mazee zee yenye mpunga balaa hayapendagi sarakasi za ma slay queen yanajiwekaga kwa masingo maza fresh kabisa. Hawa watu wanatengenezaga bonge la couple maana wote hawana njaa na wanajiheshimu na wanapendana na wala usiwaze kuhusu mikito, Hawa wazee wanapiga mechi kuliko asilimia kubwa ya vijana wala chips
 
Back
Top Bottom