ahzan
JF-Expert Member
- Apr 2, 2022
- 288
- 452
Aisee kumbe!!!!Asiwe na mtoto anaemtegemea ili akulee wewe sio.
Masharti ka unatoa huduma kuhudumia kumbe unataka kuhudumiwa wewe. Dogo acha janja janja, usingo maza wala sio kilema au udhaifu kiasi uutumie kuwachapia. Kuna masingo maza wanajielewa Ile mbaya aisee na wala hawana njaa ya wanaume especially wanaume njaa njaa kama wewe.
Kwa taarifa yako Kuna mazee zee yenye mpunga balaa hayapendagi sarakasi za ma slay queen yanajiwekaga kwa masingo maza fresh kabisa. Hawa watu wanatengenezaga bonge la couple maana wote hawana njaa na wanajiheshimu na wanapendana na wala usiwaze kuhusu mikito, Hawa wazee wanapiga mechi kuliko asilimia kubwa ya vijana wala chips
Plzzzz naomba connection za ao wazee [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app