Anataja jina la mwingine!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,421
Chukulia kwamba mpenzi wako anakosea mara kadhaa kutaja jina lako. Inawezekana siyo katika hali ya kawaida, bali hata wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Je ungefanyaje kama jambo la aina hiyo lingekutokea?
 
issue sio kukosea jina
issue anataja jina la nani?????

kama naitwa juma,halafu anatajwa rashid......

swali hapa rashid ni nani hasa??????

kwanini rashid na sio labda jema?
 
Hapo ni dhahiri mtu mwenye jina tajwa anatawala fikra za huyo mwanamke. Mimi sijui nitafanyeje endapo kitu kama hicho kikitokea. Nitajua cha kufanya wakati huo.
 
huchukua muda kulisahau jina la x wake, unavumilia hadi atapo zoea jina lako
 
<font size="4">Chukulia kwamba mpenzi wako anakosea mara kadhaa kutaja jina lako. Inawezekana siyo katika hali ya kawaida, bali hata wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Je ungefanyaje kama jambo la aina hiyo lingekutokea?</font>
<br />
<br />
jibu unalo ila umeulza tu bila sababu.swaga za huyo anaemtaja zpo juu..datz y amestik kwny mind
 
Hapo ni dhahiri mtu mwenye jina tajwa anatawala fikra za huyo mwanamke. Mimi sijui nitafanyeje endapo kitu kama hicho kikitokea. Nitajua cha kufanya wakati huo.
<br />
<br />
utatia akil.
 
Dah hiyo ni hatari sana hujue huyo ndo anampagawisha kuliko wewe!
 
Inabidi ujue wazi kwamba una mme mwenzio.
 
Dah hiyo ni hatari sana hujue huyo ndo anampagawisha kuliko wewe!
Siyo kwamba hapo umefikia kiwango cha huyo mwenzako?
Naona kama vile atakuwa anakufananisha na huyo kidume mwenzako!
 
Bwanae inapause kwanza halafu unamuuliza hilo jina vipiii....????
 
Unajua sana kujibu maswali wewe. Nakupa 100.

Hamna zawadi?!

Nwy kiukweli inabidi either uvumilie mmalize au ukishindwa umwambie umemaliza.Alafu baada ya muda kidogo unamuuliza hivi eti fulani ni nani?!Jibu atakalokupa hapo litumie kama mwongozo wa kuupata ukweli.
Mwisho wa siku utajua kama una msaidizi hivyo kajichanganya!

Au kama bado ana hisia na ex wake hivyo kakuchanganya!

Au kama umemkumbusha ex wake...hapa nadhani utakua umefikia kiwango cha mshkaji.
 
mtu anaweza kuwa na hisia na mtu wake wa zamani....

sometimes hata mtu ambae ameshakufa.....

so unaweza kuitwa jina la ex hubby,or ex wife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…