Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Chukulia kwamba mpenzi wako anakosea mara kadhaa kutaja jina lako. Inawezekana siyo katika hali ya kawaida, bali hata wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Je ungefanyaje kama jambo la aina hiyo lingekutokea?

Hapo ni dhahiri mtu mwenye jina tajwa anatawala fikra za huyo mwanamke. Mimi sijui nitafanyeje endapo kitu kama hicho kikitokea. Nitajua cha kufanya wakati huo.

huchukua muda kulisahau jina la x wake, unavumilia hadi atapo zoea jina lako

utatia akil.
Wewe ni mwanamke?
Mchukulie maneno mdomoni utajua!!
Wewe umewahi taja jina la mwingine?
Siyo kwamba hapo umefikia kiwango cha huyo mwenzako?Dah hiyo ni hatari sana hujue huyo ndo anampagawisha kuliko wewe!
That would mean nliyenae kazidiwa..NO!!
Unajua sana kujibu maswali wewe. Nakupa 100.