Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Au kama umemkumbusha ex wake...hapa nadhani utakua umefikia kiwango cha mshkaji.
<br />Na wewe taja la mwingine makusudi,akisema mbona unataja jina lingine na wewe umjibu mbona na wewe unamtaja mwingine
Mshikaji? Mshikaji oyeeeee
Huko ndio kabisaaaa utasikia mahmood....jina la mpemba wa dukanWa aina hii dawa yao ni ndogo sana ni kuwapiga ktk mtandao wa tigo.