Anataja jina la mwingine!

Anataja jina la mwingine!

Na wewe taja la mwingine makusudi,akisema mbona unataja jina lingine na wewe umjibu mbona na wewe unamtaja mwingine
 
Na wewe taja la mwingine makusudi,akisema mbona unataja jina lingine na wewe umjibu mbona na wewe unamtaja mwingine
<br />
<br />
hahahaaa hyo itakuwa ukimwaga mboga namwaga ugali, akikupiga ngumi ya SKIO nawewe mpige ya JICHO,
 
hakuna kuita jina kama unajijua wewe msanii, just lots of babe, hny, sweetie, lovidavi, laaziz...............
wasanii wanajua
 
duuuhhhh
we unafanya kazi zote ngumu ...
yeye anamfikiria mtu mwingine..
anaemfaidisha kuliko wewe ..
pole..
 
Mimi wa kwangu anatajaga utamu,.......na kuna Mzaramo mtaani kwangu anaitwa utamu, vipi hapo na mimi nasahidiwa kibaruwa ili niongeze mikito?
 
Back
Top Bottom