Anataka kudhulumu shamba letu

micky mouse

Senior Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
158
Reaction score
53
Habari wanasheria wa JF jamani rafiki wa marehemu baba yangu,alipewa heka moja na nusu kwa maandishi,baada ya baba yetu kufariki tu kafungua kesi kwamba watoto wa marehemu tunamwing ilia eneo lake la heka 5 alizopewa na marehemu tukamshin da kesi ngazi ya kijiji .wilaya na mkoa,akakata rufaa mkoa akashinda wakati tunavielelezo vya marehemu kua ni heka moja na nusu tu ,anatumia hela kununua haki.
 
Mungu hauzi Haki wala Haki haipotei kwa Mungu,Tafuta Msaada wa kisheria katika taasisi binafsi hakika Mungu si mwanadam mpaka hasahau haki yenu
 
Zitumie Hizo Hati Mlizoachiwa Na Mzee Wenu ,Tafuteni Wakili Au Mwanasheria Awasaidie! Pole Sana ,Hao Watu Wanamna Hiyo Huwatunasema Ni Wauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…