micky mouse
Senior Member
- Feb 15, 2013
- 158
- 53
Habari wanasheria wa JF jamani rafiki wa marehemu baba yangu,alipewa heka moja na nusu kwa maandishi,baada ya baba yetu kufariki tu kafungua kesi kwamba watoto wa marehemu tunamwing ilia eneo lake la heka 5 alizopewa na marehemu tukamshin da kesi ngazi ya kijiji .wilaya na mkoa,akakata rufaa mkoa akashinda wakati tunavielelezo vya marehemu kua ni heka moja na nusu tu ,anatumia hela kununua haki.