Anataka kufanya biashara kama yangu japo hana vibali? Nifanyeje?

Anataka kufanya biashara kama yangu japo hana vibali? Nifanyeje?

nxon

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,162
Reaction score
407
Habarini wana jamvi!

Inshu ni kwamba nina frem yaani duka lililo sajiliwa kila kitu kwa maana leseni ya biashara pamoja na mapato TRA, sasa kuna jamaa amejenga kibanda kidogo pembeni yangu anataka kufanya biashara kama yangu ilivyo ingawaje yeye hatambuliki na manispaa coz ni kibanda kilichopachikwa pembeni.

Sasa naombeni ushauri, je ni sahihi kwa mtu huyo kuwepo mahali hapo huku akifanya biashara kama yangu? nipeni mwongozo waungwana.
 
Kwakuwa hauzii ndani ya duka lako, mwache tu atafute rizki
 
Kiubinaadamu muache tu, akikuza mtaji ataanzisha kubwa na kulipia vibali,
wewe kuwa mbunifu na ujue namna ya kushikilia wateja wako.
 
asanteni kwa ushauri.
 
Mtuhusu mkubaliane akulippe sehemu ya pango,kodi ya kulipia flem
 
Aende TRA awe na TIN.alipe kodi kulingana na mtaji wake na akapate leseni ya biashara.kwanza kwa nin unatuuliza wakati taratibu zote unazijua wewe si una duka?
 
Back
Top Bottom