nxon
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,162
- 407
Habarini wana jamvi!
Inshu ni kwamba nina frem yaani duka lililo sajiliwa kila kitu kwa maana leseni ya biashara pamoja na mapato TRA, sasa kuna jamaa amejenga kibanda kidogo pembeni yangu anataka kufanya biashara kama yangu ilivyo ingawaje yeye hatambuliki na manispaa coz ni kibanda kilichopachikwa pembeni.
Sasa naombeni ushauri, je ni sahihi kwa mtu huyo kuwepo mahali hapo huku akifanya biashara kama yangu? nipeni mwongozo waungwana.