Anataka kuitoa!

Hii mkuu imekaa kimazingaombwe sana, yaani sijui unaweza kuithibitishaje?
 
yessssssss, there you are now! bring it quick. i want to know such a young man who waste himself with bar maids. i am still not convinced about the whole issue coz i am trying to figure out the age of the lady which must be less the age of the boy and comparing with her decisions she must be an experienced bitch.
 
Hii mkuu imekaa kimazingaombwe sana, yaani sijui unaweza kuithibitishaje?

mkuu,amini usiamini,watoto walonusurika,wengi huwa na BARAKA mdau?tena kuna wale unaowakataa,huwa nao wanabaraka ajabu!JAPO SI WOTE!
Kuna uliza uambiwe mkuu.
 
aendelee kumsihi asitoe ila aombe Mungu aishikiie isitolewe.
Pia asioe eti kisa mimba atajuta na huyo ni baa maid,je yupo tayari kuvumilia kulea mtoto wakati mkewe yupo baa usiku saa 6?
istoshe Mungu hupanga ndoa na sio mimba so ni vyema aombe msaada wa Mungu,halafu huyo mttoto tumboni kama Mungu kapanga azaliwe huyo dada anajisumbua na haitatolewa ila kama c mpango wa MUNGU BASI ITATOEWA,So instead of sitting down kuwaza hili na lille nayeye ndio kwanza 24yrs kaukimbilia ukubwa mana yeye ndio provider hapo no bora amtwishe Mungu atamsamehe na kumpa akili mpya.
 
Watu manunda wanachukuwa barmeid bila kinga yoyote mpaka anampa mimba.
Jamaa yako kweli ni shujaa
 
Duh hii elimu bado sana m2 unapiga kavu kavu yaheeee hi ki2 mwana haramu.... mwambie kama yuko tayari aoe ili mtoto azaliwe ndani ya ndoa
 

nashukuru sana ndugu yangu nimekuelewa na hapa tatizo wamekosa hofu ya mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…