Hii mkuu imekaa kimazingaombwe sana, yaani sijui unaweza kuithibitishaje?Baba erick, we una mtoto? awe wa nje, au wa ndani?
Kama unaye, basi utakuwa unajua jinsi mtoto anazaliwa na BARAKA zake...yani mwambie mshkaji atumie mbinu safi na chafu, lakini huyo mwanamke azae!
Alishafanya bongeeee la mistake kupiga kavu.
Mungu kamsaidia, hajapata kama hajapat umeme(ambao angeweza upata)...basi huyo MTOTO atayekezaliwa ni zaidi ya nyota njema kwake.
watoto ambao wanatakaga kutolewa,wakiacha wakazaliwa hubeba BARAKA za ajabu,,,ASIKIAE NA AFAHAMU!