Anataka kuja kwangu wakati sina hata godoro nalala chini, kwake nilikwenda nikakuta ana maisha mazuri

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huku Malindi,Kenya kujitafuta.

Sasa, kinachonileta kwenu ni hivi: Kuna mwanamke (maana ni mwanamke ako na 35 years) tulikutana kwa app inaitwa "tagged" sasa tukaongeaa mengi kama wiki kadhaa nyuma ila ikawa ngumu kuonana, unajua kazi tena.

Sasa leo nimepata time nzuri nikaenda kwake kwa mara ya kwanza tukaonana live. Sasa, kiukweli kajipanga ako vizuri kimaisha; yaani mimi labda naingia mara hata 10 hivi.

Tukaongea, mimi nikaamua kusepa. Sasa kasema kesho anakuja kwangu na mimi hata godoro ni kale kadogoo, nalala chini, sijajipata poa.

Sasa, jee kesho ajeee au nimpotezeee atakuja kunidharau? Nishaurini wazee wa JF
 
Ushauri Bora sana huu. Amwambie kafa ghafla mazishi yanaendelea muda huohuo.halafu anakata simu akipiga anapokea anamwambia mwenye simu kafariki na anazikwa saivi halafu alieee weeee Hadi akate simu mwenyewe.

Basi akinunua kitanda kizuri Cha at least amekuwa binadamu ampigie simu amwambie simu yake iliibwa na wahuni hasa wale wa kisii.

Simple sana
Hata sisi hatujui tufanyeje labla mpigie simu mwambie umekufa ili asije
 
Ushauri Bora sana huu. Amwambie kafa ghafla mazishi yanaendelea muda huohuo.halafu anakata simu akipiga anapokea anamwambia mwenye simu kafariki na anazikwa saivi halafu alieee weeee Hadi akate simu mwenyewe.

Basi akinunua kitanda kizuri Cha at least amekuwa binadamu ampigie simu amwambie simu yake iliibwa na wahuni hasa wale wa kisii.

Simple sana
Hahaha hahah ila wewe daaa
 
Sahihi kabisa, akijiweza tuu anasema aliibiwa simu.
 
Back
Top Bottom