Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza kufuga watu??nakosaje jaman nikiona hapafai namleta akae kwangu
hujawahi niacha salama wewe mhidza😂😂Umeanza kufuga watu??
31 ni mtoto?Bado mtoto huyo.
Hongera!! Wenzio tunafukuza kunguru, ww unazifuga 😂😂😂hujawahi niacha salama wewe mhidza😂😂
Sasa nifanyaje na ndo kipaji changu😂😂Hongera!! Wenzio tunafukuza kunguru, ww unazifuga 😂😂😂
Hujambo binti yangu!Hakikisha umepita naye na kafurahia game ndio umkaribishe, lasivyo kuna mawili hapo kuachwa au kukwambia ana dharura
Sawa “Mlezi wa wana” kazi iendelee 😂Sasa nifanyaje na ndo kipaji changu😂😂
Sijambo 🤭Hujambo binti yangu!
🙌🙌🙌🙌Sijambo 🤭
jamhuri ya mashangazi 😂😂Sawa “Mlezi wa wana” kazi iendelee 😂
Ndio.31 ni mtoto?