Umeanza kufuga watu??nakosaje jaman nikiona hapafai namleta akae kwangu
hujawahi niacha salama wewe mhidzaππUmeanza kufuga watu??
31 ni mtoto?Bado mtoto huyo.
Hongera!! Wenzio tunafukuza kunguru, ww unazifuga πππhujawahi niacha salama wewe mhidzaππ
Sasa nifanyaje na ndo kipaji changuππHongera!! Wenzio tunafukuza kunguru, ww unazifuga πππ
Hujambo binti yangu!Hakikisha umepita naye na kafurahia game ndio umkaribishe, lasivyo kuna mawili hapo kuachwa au kukwambia ana dharura
Sawa βMlezi wa wanaβ kazi iendelee πSasa nifanyaje na ndo kipaji changuππ
Sijambo π€Hujambo binti yangu!
ππππSijambo π€
jamhuri ya mashangazi ππSawa βMlezi wa wanaβ kazi iendelee π
Ndio.31 ni mtoto?