Dada wa watu anaomba ushauri
Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale majukumu provide all basic needs"
basi jamaa akawa mfariji wake sana binti hadi wakapendana
Jamaa alimuoa binti Baada ya msiba wa baba ake miezi 6 baadae
Kahikikisha hadi bidada kamaliza elimu yake kapata kazi ya kudumu(nursing)
Miaka yote hiyo saba anamlipia mama ake mzazi mwanadada kodi(anaishi mahala pazuri) na matumizi mengine
Picha linaanza demu mwaka mmoja Baada ya kufunga ndoa na jamaa alirudiana na bwana wake wa kwanza (ex) wa secondary highschool
Jamaa amemzalisha watoto wa Tatu ndani ya ndoa bila Mume kujua
Sasa picha linakuja mwanadada haridhiki kwenye tendo kwa mume
Anasema hisia zake kwa. MUMEWE zimekufa anataka avunje ndoa arudi kwa ex wake anamridhisha sana Kitendo na anampenda sana Ila kwa upande mwingine bado huduma za MUMEWE anazitaka!
Je Una mshauri ni mwanadada Huyu!