Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

Nyege mbaya sana kama utashindwa zicontrol. Naona gunia la mkaa litafanya kazi muda si mrefu.

Kuna tukio litatrend mtandaoni muda si mrefu.
Mwanaume mwenye nguvu ni asiyeyumbishwa na matendo ya mtu mwingine hivyo best option ni kumuacha na kuondoka.
ila huyu ni zumbukuku hana habari kuwa mali zake zaliwa ikiwezekana hadi sega.
Watoto kazaa na jamaa wa nje, kuua unakuwa muuaji na kusumbuliwa na mahakama, polis na jela.
Ondoka ili ajute maamuzi yake.
 
Unajiandikia tu humu JF. Omba sana lisikukute na ukalijua.

Mungu akuepushie mbali.
 
👉Dada wa watu anaomba ushauri
Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale majukumu provide all basic needs"

basi jamaa akawa mfariji wake sana binti hadi wakapendana
👉Jamaa alimuoa binti Baada ya msiba wa baba ake miezi 6 baadae
👉Kahikikisha hadi bidada kamaliza elimu yake kapata kazi ya kudumu(nursing)
👉Miaka yote hiyo saba anamlipia mama ake mzazi mwanadada kodi(anaishi mahala pazuri) na matumizi mengine

Picha linaanza✏️demu mwaka mmoja Baada ya kufunga ndoa na jamaa alirudiana na bwana wake wa kwanza (ex) wa secondary highschool
✏️Jamaa amemzalisha watoto wa Tatu ndani ya ndoa bila Mume kujua
Sasa picha linakuja mwanadada haridhiki kwenye tendo kwa mume wake
👉Anasema hisia zake kwa. MUMEWE zimekufa anataka avunje ndoa arudi kwa ex wake anamridhisha sana Kitendo na ANAMPENDA sana🤔 Ila kwa upande mwingine bado huduma za MUMEWE anazitaka!

Je Una mshauri ni mwanadada Huyu!
Yaani mpaka anaomba ushauri, yamemfika kooni, ukuni unamkuna vilivyo, hawezi kuendelea,kila siku baada ya kupata ukuni wa maana anazidi kuchanganyikiwa, Hisia za mwanamke zinapanda pale anapokutana na mwanaume ambaye ana vigezo vingi ambavyo vinamvuti, hapo hawezi kubalance mapenzi, hawezi atajistress, atakuja kuomba ushauri, Amezidiwa.

Akikosa ushauri atafanya hadharani, mwishowe mumewe atajua.
Ushauri wangu achague ex wake, Ili tuone mwisho utakuwaje.
 
Amlipe garama zake zote aondoke. Huyo ni adui mkubwa sio mke. Watoto watatu wa baba mwingine majukumu na mzigo wa kuwalea na mama mkwe kabebeshwa jamaa. So sad kwa kweli ndio maana watu wanauana kwenye ndoa
👉Dada wa watu anaomba ushauri
Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale majukumu provide all basic needs"

basi jamaa akawa mfariji wake sana binti hadi wakapendana
👉Jamaa alimuoa binti Baada ya msiba wa baba ake miezi 6 baadae
👉Kahikikisha hadi bidada kamaliza elimu yake kapata kazi ya kudumu(nursing)
👉Miaka yote hiyo saba anamlipia mama ake mzazi mwanadada kodi(anaishi mahala pazuri) na matumizi mengine

Picha linaanza✏️demu mwaka mmoja Baada ya kufunga ndoa na jamaa alirudiana na bwana wake wa kwanza (ex) wa secondary highschool
✏️Jamaa amemzalisha watoto wa Tatu ndani ya ndoa bila Mume kujua
Sasa picha linakuja mwanadada haridhiki kwenye tendo kwa mume wake
👉Anasema hisia zake kwa. MUMEWE zimekufa anataka avunje ndoa arudi kwa ex wake anamridhisha sana Kitendo na ANAMPENDA sana🤔 Ila kwa upande mwingine bado huduma za MUMEWE anazitaka!

Je Una mshauri ni mwanadada Huyu!
 
Yaani mpaka anaomba ushauri, yamemfika kooni, ukuni unamkuna vilivyo, hawezi kuendelea,kila siku baada ya kupata ukuni wa maana anazidi kuchanganyikiwa, Hisia za mwanamke zinapanda pale anapokutana na mwanaume ambaye ana vigezo vingi ambavyo vinamvuti, hapo hawezi kubalance mapenzi, hawezi atajistress, atakuja kuomba ushauri, Amezidiwa.

Akikosa ushauri atafanya hadharani, mwishowe mumewe atajua.
Ushauri wangu achague ex wake, Ili tuone mwisho utakuwaje.
Sasa kwanini hakuolewa naye maana kakutana naye kabla huyo mme wake.
 
Dada wa watu anaomba ushauri
Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale majukumu provide all basic needs"

basi jamaa akawa mfariji wake sana binti hadi wakapendana

Jamaa alimuoa binti Baada ya msiba wa baba ake miezi 6 baadae
Kahikikisha hadi bidada kamaliza elimu yake kapata kazi ya kudumu(nursing)
Miaka yote hiyo saba anamlipia mama ake mzazi mwanadada kodi(anaishi mahala pazuri) na matumizi mengine

Picha linaanza demu mwaka mmoja Baada ya kufunga ndoa na jamaa alirudiana na bwana wake wa kwanza (ex) wa secondary highschool

Jamaa amemzalisha watoto wa Tatu ndani ya ndoa bila Mume kujua

Sasa picha linakuja mwanadada haridhiki kwenye tendo kwa mume

Anasema hisia zake kwa. MUMEWE zimekufa anataka avunje ndoa arudi kwa ex wake anamridhisha sana Kitendo na anampenda sana Ila kwa upande mwingine bado huduma za MUMEWE anazitaka!

Je Una mshauri ni mwanadada Huyu!
inawezekana mwanamke akawa ndio kiumbe hatari kuliko wote duniani!!!
 
Aache umalaya.... kama anaenda aende kwa mzinzi mwenzake.... sasa huduma za nini akati hatako ndoa? Haoni kama ameshafanya dhuluma na bado anataka aiendeleze kwa mtu asie na hatia?

Hapo huyo bidada kafeli.... anaonekana changudoa aliye kubuhu aiseh... duuh!
 
Kujilinganisha na wanaume kwenye mambo ya hovyo mko vizuri lakini tukiwaambia mjilinganishe na wanaume kwenye mambo ya maana kama majukumu ya kifamilia hamtaki hata kusikia.
Hatutaki kuingilia majukumu yenu
 
Dada wa watu anaomba ushauri
Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale majukumu provide all basic needs"

basi jamaa akawa mfariji wake sana binti hadi wakapendana

Jamaa alimuoa binti Baada ya msiba wa baba ake miezi 6 baadae
Kahikikisha hadi bidada kamaliza elimu yake kapata kazi ya kudumu(nursing)
Miaka yote hiyo saba anamlipia mama ake mzazi mwanadada kodi(anaishi mahala pazuri) na matumizi mengine

Picha linaanza demu mwaka mmoja Baada ya kufunga ndoa na jamaa alirudiana na bwana wake wa kwanza (ex) wa secondary highschool

Jamaa amemzalisha watoto wa Tatu ndani ya ndoa bila Mume kujua

Sasa picha linakuja mwanadada haridhiki kwenye tendo kwa mume

Anasema hisia zake kwa. MUMEWE zimekufa anataka avunje ndoa arudi kwa ex wake anamridhisha sana Kitendo na anampenda sana Ila kwa upande mwingine bado huduma za MUMEWE anazitaka!

Je Una mshauri ni mwanadada Huyu!
.
Chai
 
Back
Top Bottom