Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

Hapa kataa ndoa tumeshinda 4 bila. Kiufupi jamaa alioa malaya!! hana tofauti nacwale chumba namba 13 kinalua sana twende namba 7!
 
Maisha ndio haya haya yeye aende kokote ataporidhika nafsi
 
Kwa siku wanashinda kitandani kwa muda gani? 😅😅😅😅 Masaa 24? au hata nusu yake?

Watu kama hao ni wazuri sana, muungeni mkono! Kaeni pembeni subirini matokeo cause WTF!
Kweli aungwe mkono halafu mnakaa pembeni 😂😂
 
Inner peace! inner peace! dinner please!
...
Hakuna taarifa nzuri wala mbaya ni kulingana na wewe umejipangaje
...
Arudi tu akaolewe kwa ex wake, lakini wanaume kwa wanawake nawakumbusha tena

Mhubiri 7:16,17
usiwe mwema kupita kiasi, wala usiwe mpumbavu, kwanini ufe kabla ya wakati wako
...
Wema ni akiba ety aya 😎
 
Malaya huwa ngumu kuacha umalaya
 
Aende tu kwa huyo bwana wake anayempenda asije akampa maradhi bure mtoto wa watu,hizo huduma za familia yake huyo bwana wake anayempenda atazibeba au watasaidiana tu kwa kadiri ya uwezo wao.
 
Kuna muda ukisoma visa aina hii unaweza ukadhani yule ambae hua anakemewa makanisani ndo huyu sasa.

Educated dadaz kabisa lakini bado anaongozwa na mihemko ya kingono..

Mdada mwenye mitoto kabisa lakini bado ni limbukeni wa mapenzi kama binti anaebalehe?


LOLOTE BAYA LIMPATE maana wengine inatakiwa watumike kama mifano kwa wengine.
 
Huyo mwanamke ni Malaya. Jamaa alioa mke wa mtu
Mnavyomwitaga mwanamke malaya ni ili aumie au ni kujiridhisha tu nafsi zenu? Wengi tu mnaishi na malaya na hamjui.
Huyo jamaa apigwe chini. Ndoa ni tendo..mnataka dada wa watu akamalizie wapi nyege zake kama mume hajui lolote.?

Mwanamke akiwa hana kizazi mnasapoti mwanaume akazae nje na mara nyingi mke anaachwa kisa hazai.

Jamaa apigwe chini apelekwe jando akafundishwe jinsi ya kumridhisha mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…