Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

Sasa hapo anataka ushauri gani?

Alafu mbwa kama huyo akija kukatwa katwa mapanga wanaharakati uchwara waje kupiga kelele za ukatiri wa kijinsia.
Anacho kitafuta atakipata muda sio mrefu.
Umkate kate mapanga kwanini, si umpige talaka tu 😎
 
Kikitokea kifo,kuna watu huwa wanaandika SI ANGEMUACHA TU,wakati hawajui jamaa aliaminishwa kua watoto ni wake na akawajibika ipasavyo,bado ukute pesa nyingi jamaa kapoteza,halafu leo hii mwanamke anakuja anasema SINA HISIA NAE.Ujinga sana huo.
 
Kwa namna Moja au nyingine nawew unahusika kwenye hiyo kesi 😆
 
Afanye lile aonalo kuwa ni jema kwake ila asijute baadae
 
Mwambie aende Kigamboni kwa yule mwanaume aliyemuua mke wake na kumchoma moto kwa magunia mawili ya mkaa akajifunze
 
Kuna mabinti 1980, 2000, 2010... wanakuja kwa kasi sana; asitishe misaada kama USA walivyofanya, kisha watengane, atafute toto la kinyarwanda wakate mauno.
Acha dharau pisi gani za Themanini 🤔hivi unajua mwanamke wa 1986 sahv baadhi wana wajukuu =39 age Ungenambia 2000-2008 hapo
 
Tamaa mbele mauti nyuma,,,, Wadada wengi wanakuwa na tamaa sana na kutokuridhika na sehemu walipo.

Kunawakati siyo lazima kufata sehemu ilipo furaha yako bali uwe sehemu yenye amani tu, akae achanganue upya maamzi atakayochukua juu ya future yake. Mwisho akaombe tu samahani pia kwa watoto wake aliowapata nje ya ndoa,,,👉hapa duniani hamna siri ya watu wawili , ikibainika itakuwa msala mwingine nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…