Anataka kunikimbia....kisa....eti simfikishi kilimani!

Hapana mkuu, huwa anasema kabisa, it is there, it is there, it is there, oh no, thankyu...bada ya hapo ananibeza.
halafu na wewe unaitikiaje???

mbona hukumtengeneza vizuri zaidi wakati anasema "it is there, it is there, it is there, oh no, thankyu" hadi aseme "oh, i am tired, it is enough, kojoa sasa"
 
Umeshaambiwa kuwa hutoshi...tafuta size yako...

Tulishazoeana, kuanza upya tena jamani mbona ngumu. utafute, akukubali halafu muanze kusomana tabia, na mvi nazo zinanyemelea.
 
Ana lake jambo huyo! Ila jaribu kuongea nae umueleze jinsi unavyoumizwa na comment zake mnaweza mka solve.
 
Wewe unaonekana sasa umsanii......... unachezea akili za watu hapa JF.
Wakati mwingine uje na hoja zenye mashiko

Haya ni matatizo tu mkuu. ipo siku na wewe yatakuja kukutokea. usiombe.
 
Ana lake jambo huyo! Ila jaribu kuongea nae umueleze jinsi unavyoumizwa na comment zake mnaweza mka solve.

Sawa nitajaribu. nashukuru kwa ushauri, ila nipo kwenye lindi la mawazo sana
 
Jitume saa moja na nusu??? yaani mpira wa miguu unanza mpaka unaisha we unakita tu?
 
Huyo hana mapenzi na wewe maana ana hisia unajuwa tendo lile ni hisia
 
Hapa hamna mapenzi..coz ninavyoelewa mimi kuridhishana ni jukumu la kila mmoja wenu kuhakikisha anatimiza wajibu wake vizuri. Kwanini msikae kila mmoja akamweleza mwenzie na kuangalia jinsi gani mtaweza kuridhishana. Lakini inavyoonekana kama hamjaoana hapa inawezekana yeye hajaridhika kuwa na wewe katika maisha yake..na ukilazimisha vitu u will regret in all ur life...
 

Tatizo nikiongea hapa wengine wananibeza.
Ila kiukweli ilifikia wakati hadi nikachukia nikamtia makofi mengi tu. Yani mimi ndo nahangaika peke yangu yeye mhhh. Halaf hata kutomaswa hataki. mwisho wa siku analalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…