Anataka kunikimbia....kisa....eti simfikishi kilimani!

Anataka kunikimbia....kisa....eti simfikishi kilimani!

Umenikumbusha hii sms;

"Baada ya shughuli kitandani MWANAMKE alimwambia mwanaume, "Gitaa lako dogo?".

Mwanaume akajibu, "Sawa lakini sikujua kama nitatumbuiza uwanja mpya wa Taifa"...

Kazi ni kwako............

Hiyo sms imenifanza nicheke mwenyewe! Sasa nani atakuwa kaumia hapo?

Vikao vyote vimechemsha, hadi mashehe wamechemsha

Achana nae huyo anakuzingua, kama hata wazee/wazazi wake awasikilizi ujue keshakuwa gwiji. Nenda kwa babu ukanywe kikombe uwe sawa, na ufanye mazoezi kwa wingi, tafuta dvd za ngono zikusaidie ktk kudesa style!

jamani nimetumia akili, nguvu, juhudi, jitihada, maarifa na kila kitu ili mradi tu afurahi; lakini sina hakika kama nimegonga mwamba au ni kwamba ameamua tu kuniumiza. Ndio kusema hanitaki? Au anayoyasema ni kweli!
Sasa nyumbani kimenuka, na hataki tena nile.
Hapa ameniambia nimtafutie nauli aende zake!
Kumpenda nampenda, nifanyeje?
pole sana kaka,najua una wakati mgumu kwa sasa kwa vile unampenda sana,ila nataka nikwambie kitu kimoja, wanaume wengi ni wabinafsi katika swala zima la mapenzi.ulichokuwa ukikifanya ni kumpanda na kisha ukimaliza haja yako unachapa usingizi, jhenga tabia ya kuwasiliana na mpenzi wako wakati wa falagha, muulize anajisikia vipi na kama ameridhika,akisema bado mpe haki yake Aridhike.

huwa nafata taratibu zote za maandalizi.
Cha ajabu huwa anatoa ukelele lakini tukipiga mshindo anadai sijafanya lolote.
baba mziki mchache huo,kwanza mjulie mwenza wako,yawezekana huo ukelele ndo anasogea kwenye kilele cha ubora,we unakurupuka unadhani kafika.

mkuu mi sio mbishi ila yeye ndo mbishi, manake nimejaribu kumsoma maeneo yake muhimu, lakini ukiyagusa hayo tu basi anakutia ngumi na inakuwa purukushani yani hadi balaa, hataki kabisa nimguse maeneo hayo, yani hana ushirikiano kabisa.
hawezi kukutia ngumi kama umegusa maeneo muhimu,huwa kuna utulivu,hata kama ni mbisi kiasi gani,

mwangalie vzr.inawezekana hana kinembe(walikata)

Kama huwa unamburuza mpaka saa moja na nusu huyo ana yake,eitha jini mahaba limeinglia penz lenu linamfanya asione utamu.

Mbona na wewe unazid kuniongezea machungu tena.

Pole best nilitaka kukuchangamsha kidogo. Huyo hata kama unampenda vipi sio size yako subiri na omba Mungu utapata mtaendana. Unasema anaonekana kukupenda inawezekana lakini sio mvumilivu hata kidogo na ukimuoa huyo lazima atatoka nje ya ndoa

Mkuu huwa natumia hadi lisaa na nusu.

hilo losaa na nusu unatumia ukifa kifuani ????

kutumia muda mrefu kifuani kwa mwanamke si ujanja wa kumfikisha unatakiwa uelewe abcdef..... ya mapenzi au sex

hilo losaa na nusu unatumia ukifa kifuani ????

kutumia muda mrefu kifuani kwa mwanamke si ujanja wa kumfikisha unatakiwa uelewe abcdef..... ya mapenzi au sex

Hiyo ni sehemu tu katika yale ninayoyafanya kwenye hizo abcdef.....

Pole best nilitaka kukuchangamsha kidogo. Huyo hata kama unampenda vipi sio size yako subiri na omba Mungu utapata mtaendana. Unasema anaonekana kukupenda inawezekana lakini sio mvumilivu hata kidogo na ukimuoa huyo lazima atatoka nje ya ndoa

Siyo saizi yangu kivipi? Ina maana anashughulikiwa na mwingine?

hawezi kukutia ngumi kama umegusa maeneo muhimu,huwa kuna utulivu,hata kama ni mbisi kiasi gani,

Huwa anaanzisha vurumai hadi majirani wanasikia. Utawasikia majirani: "tayari wameshaanza huko", heheheeee kaaaazi kwelikweli, wananibeza majirani.

pole sana kaka,najua una wakati mgumu kwa sasa kwa vile unampenda sana,ila nataka nikwambie kitu kimoja, wanaume wengi ni wabinafsi katika swala zima la mapenzi.ulichokuwa ukikifanya ni kumpanda na kisha ukimaliza haja yako unachapa usingizi, jhenga tabia ya kuwasiliana na mpenzi wako wakati wa falagha, muulize anajisikia vipi na kama ameridhika,akisema bado mpe haki yake Aridhike.

Halafu huwa anabana mapaja. tunakikirisana hadi nikitoka hapo godoro lote chapachapa kwa jasho., inabidi tulipeleke nje kuanikwa.

inategemea uko nae kivip?maana inawezekana yuko nawe kwa sasa bt kumbe anavuta mda kuna mahali yuko

Back
Top Bottom