- Thread starter
- #121
Tatizo hulioni? Au ujinga wako ndio unakufanya usione tatizo. Unataka kuniambia kuwa kwenye threads zako mbili hapo chini huoni tatizo?
Mwezi huu:
Mwezi uliopita:
Hakuna tatizo hapo? Ujinga wako huko huko.
Una nini unatafuta kwangu.
Ok, toa tena matamshi yako ya namna hiyo!