Anataka kunikimbia....kisa....eti simfikishi kilimani!

kiritimba naweza kuongea bila shaka mabeki 3 (house girls) ndo ngoma zake hawa binadam nilipata kuwa na uzoefu nao kipindi flan...mapenzi yao kama mnashusha injini ya scania vurugu tupu
 
Umenikumbusha hii sms;

"Baada ya shughuli kitandani MWANAMKE alimwambia mwanaume, "Gitaa lako dogo?".
Mwanaume akajibu, "Sawa lakini sikujua kama nitatumbuiza uwanja mpya wa Taifa"...

Kazi ni kwako............

Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Pole sana kaka, ila nakusihi jaribu kumuweka faragha uongee nae ki-kubwa kuhusu tatizo linalokabili uhusiano wenu! HIZO NI CHANGAMOTO TU zitaisha!
 
<br />
<br />
yaan kijana umenivunja mbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…