Anataka kunipeleka Polisi kisa na-date na Binti yake

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Huyu Mzee bhana haishi kunitishia mara tu baada ya kusikia naishi na binti yake. Binti yake anasoma Chuo Diploma mwaka wa pili. Kiumri tayari ameshaover 18+ lakini mzee wake anakaza anataka anipeleke polisi kwa kesi ya kwamba Binti yake bado anasoma.

Je, Wakuu kuna kesi yoyote hapo endapo akifikia hatua ya kunipeleka huko? Sheria zinasemaje kwa umri na mtu anaesoma ngazi hiyo ya Elimu? Kuwa kwenye mahusiano ni kosa kisheria au ni haki yake?
 
Unaishije na binti wa watu bila ridhaa ya wazazi wake, likikukuta LA kukukuta akili yako itakukaa sawa na kuelewa Una kosa gani
Mi siishi nae kwa maana ya kukaa nae, mi niko na mahusiano nae tu ila anakaa kwao.
 
Zero IQ, mjaze mimba huyo binti, Kisha tafuta t short kubwa aindike mgongoni, mwanao tayari, bado mkeo, pita nayo mitaa Yake ya kujidai. Atakuheshimu tu
[emoji3][emoji3][emoji3] Nataka nijue kwanza je kuna kesi yeyote kuwa kwenye mahusiano na binti anaesoma chuo Ngazi ya Diploma
 
Ni mwanafunzi. Si utafute mitaani kwani hawapo.

Tena si polisi tu na kukuroga atakuroga.

Unamvimbia mwenye mtoto wake, zaa wako kabidhi kwa akina Bujibuji.
Nataka Nijue sheria inasemaje kwa mwanafunzi wa Chuo anaesomea ngazi ya diploma,
inamtambua kama mwanafunzi wa shule ya msingi au secondary au inamtambua kama ni mtu mzima mwenye maamuzj yake?


Nijibiwe hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…