careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,652
Kwanini uko naye kimapenzi? Unampenda kiasi cha kutaka kumuoa au unazuga naye tu? Kama unataka kumuoa fata taratibu msomeshe pimbi wewe!
Kama huna mpango naye achana naye tafuta mwanamke mtaani wamejaa tele mvalishe nguo za diploma acha ukenge
Mzee ana malengo na mtoto wake ndo maana anakula ugali bila mboga ili alipe ada.
Acha kumchonganisha mtoto na babake..huyo mtoto bado ndo maana anasomeshwa na babake angekua mkubwa angejisomesha mwenyewe paka mweusi wewe.
Unajua ada inavyotafutwa?