Anataka kunipeleka Polisi kisa na-date na Binti yake

Anataka kunipeleka Polisi kisa na-date na Binti yake

Kwanini uko naye kimapenzi? Unampenda kiasi cha kutaka kumuoa au unazuga naye tu? Kama unataka kumuoa fata taratibu msomeshe pimbi wewe!

Kama huna mpango naye achana naye tafuta mwanamke mtaani wamejaa tele mvalishe nguo za diploma acha ukenge

Mzee ana malengo na mtoto wake ndo maana anakula ugali bila mboga ili alipe ada.

Acha kumchonganisha mtoto na babake..huyo mtoto bado ndo maana anasomeshwa na babake angekua mkubwa angejisomesha mwenyewe paka mweusi wewe.

Unajua ada inavyotafutwa?
 
Kuna mjumbe mmoja amejibu lakini wengine naona wanaleta utani tuu, ki ufupi hakuna sheria itatumika kukuhukumu labda unawezwa kuumizwa endapo huyo mzee ataamua, maana atakupeleka kwanza polisi.

Polisi wetu ni walafi zaidi ya fisi, watakutishia na watakutia ndani na pesa itatembea, unaweza kupewa kesi nyingine mbaya na mahakamani ukajikuta kwenye kesi mpya na ukafungwa vizuri tu.

Kama kuna uwezekano wa kuyasuluhisha na mzee harakisha mkayamalize vyombo vyetu vya mahakama na polisi kiufupi vimeoza sana tena sana.
 
Mzee wa watu anamsomesha halafu wewe kazi yako kumla tu/ wew noma sana
Huyu Mzee bhana haishi kunitishia mara tu baada ya kusikia naishi na binti yake. Binti yake anasoma Chuo Diploma mwaka wa pili. Kiumri tayari ameshaover 18+ lakini mzee wake anakaza anataka anipeleke polisi kwa kesi ya kwamba Binti yake bado anasoma.

Je, Wakuu kuna kesi yoyote hapo endapo akifikia hatua ya kunipeleka huko? Sheria zinasemaje kwa umri na mtu anaesoma ngazi hiyo ya Elimu? Kuwa kwenye mahusiano ni kosa kisheria au ni haki yake?
 
Amegundua wewe ni tapeli.
 
Back
Top Bottom