Tony Yeyo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 729
- 555
Habari zenu
Rafiki yangu anataka kununua gari lakini hataki kununua gari iliyo na Kimo cha chini.
Anataka gari yenye kimo cha NISSAN DUALIS. Hii ni kutokana na kuishi maeneo yenye miundombinu mibovu.
Ameshindwa nunua DUALIS sababu iko bei juu
Yeye Bajeti yake ni million 15…
Gari isizidi cc 2000
Anunue gari gani?