Anataka kununua gari iliyo juu kwa bajeti ya Milioni 15

Naomba kushare kitu kdg kwangu mm kimekua msaada sana ninapotaka kununua magar mazuri na model za karibuni huwa nafanya kitu kimoja nina watu wangu (ndg) ,ninapo taka kununua gar model mpya nyingi huwa ni bei juu kuipata used sasa mm huwa natumia ndg zangu na ujaja walonipa ni mmoja tu
Kununua gar iliyogongwa au kupata ajari mara nying kwa wazungu gar za aina iyo huwa hawazitengenezi sabu kuna bima yale magar yakipata ajari uchukuliwa na macampuni ya Bima na kuzitunza kwaajiri ya kuuzia watu wasio na uwezo
Sasa unaweza nunua iyo gar kwa bei nafuu na ukaitengenezea uko uko Uk kwa garama nafuu zen ukaisafirisha kuja tz
Kuna gar nying tu nmenua kwa mtindo huo na zingne nmenunua mpya zisizo na ajari
Mi huwa nashangaa sana unauziwa gar kam Vangard kwa million ad38 wakat kwa nusu ya pesa iyo unapata Range rover sport au evogue ya 2017 iliyogongwa unaitengenezea uko ad kufka tz unajikuta umetumia 30 au imezid kdg na umepata gar yako nzuri naya tofauti ukiingia kitaa unaonekana boss kumbe kibaka
Nikuangalia tu wasikuchagulie gar ilo pata ajari mbaya ila km imegogwa milango au imegongwa shoo ya mbele kwa ufupi gar ambayo ajari yake haina madhala kwa baadae
Nmeona tu nishee japo najua kwa pesa ya mtoa mada hatopata ila akiongeza kdg anaweza pata
Iakn pia najua humu jamii forum kuna watu waelewa na wanaojua kutoa maelezo vzr watatusaidia kueleza vzr

Lakin pia nlikua naomba kujua kwa wajuzi wa mambo humu kwann Tanzania magari yanakua na bei juu sana yan unakuta mfano kluger ya 2002 ad2005 (2.4),3.0 7 unakuta inauzwa bei juu wakat ni gar yenye miaka 20 tangu itengenezwe sasa unajiuliza hii gar nzee inakuaje ni bei juu sasa ilotengenezwa mwaka huu itakua na bei gan na kwel kwa uchumi wa wabongo walio weng wataweza kununua magari mapya au ndo tuendelew kutumia magari mazee yenye technojia za kizaman wakat tuko ulimwengu mpya

Ttzo ni nn TRA au ni wakala na maajeni ndo wanataka faida kubwa
Msije niona mshamba au limbukeni ksa kutaja Uk ni sehemu nying tu iyo biashara inafanyika ila kwa experince yangu ni Uk kwaiyo naonga kitu najua siwez ongerea sehemu zingne sababu sijui taratbu za uko
 
umejitahidi sana mkuu,kutupa ujanja mpya,,ila mimi nafikiri hiyo ni KUBET,na tunaita,,double chance,,yeyote aweza poteza au shinda....
 
Habari zenu

Rafiki yangu anataka kununua gari lakini hataki kununua gari iliyo na Kimo cha chini.

Anataka gari yenye kimo cha NISSAN DUALIS. Hii ni kutokana na kuishi maeneo yenye miundombinu mibovu.

Ameshindwa nunua DUALIS sababu iko bei juu

Yeye Bajeti yake ni million 15…

Gari isizidi cc 2000

Anunue gari gani?
aje nimpe rav 4 kilitime no DW mpya kabisa kwa 20.5m akaanzie maisha ni 1790cc vvti from japan.

kuhusu nissan dualis,sjui suzuki vitara nk simshauri kwani zitamtesa sana kwenye spare na hata akisema leo aiuze anaweza kufa kwa presha/kihoro kwa bei atakayopata
 
Sikujua dualis ina shida ya spare.. how come gari ambayo kila mtu nchini anayo iwe na shida ya spare?
 
Mshauri anunue Toyota Probox atanishukuru. Inatumia mafuta vizuri sana.
 
Back
Top Bottom