Mistubish outlandersHabar zenu
Rafik yangu anataka nunua gari lakin hatak nunua gari iliyo na Kimo cha chini...
Na ndio atakapoishia kupata kiduku yake namba B akafe nayo huko.Sasa si achukue Rav4 tuu anaumizaje kichwa wakati bajeti ni yake maamuzi ni yake, anapata Rav4 ya mkononi yenye nafuu akitaka anatafutiwa.
Hiyo umejumuisha Kodi?Aongeze 2.7m anapata RV 4 safi toka Japani anaishi nayo.
Mitsubishi Outlander aongeze helaMistubish outlanders
Nani anasema? Ubaya wake Nini? Yaani gari imepitishwa kwenye international standards then mtanzania wa standard Seven akudanganye?!izo gari wanasema sio nzur
Labda amvue mtu.
Anunue gari gani?
Aongeze 2m aagize mwenyewe subaru foresterHabari zenu
Rafiki yangu anataka kununua gari lakini hataki kununua gari iliyo na Kimo cha chini...
Inawezekana kuagiza Subaru Forester kwa 17M?Aongeze 2m aagize mwenyewe subaru forester
Subaru za kuagiza kwa 15m ni zile za model ya 2002 - 2005, hizi zilizojaa saivi ni model ya 2008-2011 ambazo minimum kila kitu ni 22m.Inawezekana kuagiza Subaru Forester kwa 17M?????
Mwambie Apitie na Hii Toyota RushHabari zenu
Rafiki yangu anataka kununua gari lakini hataki kununua gari iliyo na Kimo cha chini...
Nunua Toyota Brevis halafu iinue juu, ikikushinda park.Habari zenu
Rafiki yangu anataka kununua gari lakini hataki kununua gari iliyo na Kimo cha chini.
Anataka gari yenye kimo cha NISSAN DUALIS. Hii ni kutokana na kuishi maeneo yenye miundombinu mibovu.
Ameshindwa nunua DUALIS sababu iko bei juu
Yeye Bajeti yake ni million 15…
Gari isizidi cc 2000
Anunue gari gani?
Kupitishwa kwenye international standard sio kigezo Cha kuwa gari Bora kwa mazingira ya TanzaniaNani anasema? Ubaya wake Nini? Yaani gari imepitishwa kwenye international standards then mtanzania wa standard Seven akudanganye?!