Half Genious
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 491
- 784
Habari wadau
Kuna mwanamke ambae nilikiwa nae kwenye mahusiano baadae tukatengana baadae akaniambia ana mimba yangu so kuanzia analea mimba had leo mtoto amezaliwa hatuko kwenye mahusiano ya kimapenz wala kupasha kiporo anaishi anaishi kwao na mtoto sasa anataka kuolewa mwez ujao mi sitaki mwanangu alelewe na baba wa kambo ila yeye yupo ok hata nikitaka kumchukua mtoto,mi bado sijaoa mtoto ni mdogo sana kumchukua bado anahitaji kunyonya na mama yake yupo amgekuwa amekufa hapo sawa na nina muhudumia had msichana wa kaz nimemuwekea..nataka kumchukua mtoto wangu nimpeleke wapi ndio nakuna kichwa kwa umri wake ule..!..nq jambo hili alifanya kwa siri nimekuja kujua juz ndoa inakaribia kufungwa
Wapo wamenishauri nimpeleke mtoto ustawi kuna watu wanatafuta watoto wamlee au kuadopt sasa mi sijashindwa kumlea ila nahis ninapoelekea nakosa choice...kumpelekea ndugu mzigo wa mtoto napo ni mtihani kwa maisha haya..!