Anataka kuolewa na mtu mwingine na mtoto wangu ana miezi 10

Sasa kama ww unajiona bado mtoto mbona ulienda kumpa mtu mimba?!


Wacha dada wa watu aolewe ampe mwanae maisha mazuri wewe bado boya tu
 
Reactions: BAK
Huwez zuia acolewe na hata akienda na mtt hatamnyonyesha 7bu anaish na mwanaume mwngne. Mpelekee mama yko mtt alelewe na bb yake.
 
Wewe mbinafsi kupita maelezo. Unaandika kama hukutaka aolewe ili akulelee mtoto wako. Yaani wewe!! Una bahati sana. Shukuru Mungu wako.
 
Nimekuelew sana,kweli bado unamuhitaji kwa ajili ya makuzi ya mwanao,kaane chini mmalize tofauti zenu,Maisha mengine yaendelee ya raha na amani
 
Wewe mbinafsi kupita maelezo. Unaandika kama hukutaka aolewe ili akulelee mtoto wako. Yaani wewe!! Una bahati sana. Shukuru Mungu wako.
Mimi sio mbinafsi vip kuhusu mtoto je hajafikrikia mtoto wake aliyemuweka tumboni atakuwaje...
 
Nashukuru nimempata binamu yangu amekubali kubeba hilo jukumu la kuanza safari ya hicho kiumbe..! ..nampwnda mwanangu na sikitaka alelewe na baba wa kambo nimeona watu baadhi wamejibu huko juu hamjasoma uzi vizuri nimesema tuliachana hata before sijajua kama ana mimba yangu na aliponieleza bado nililipokea na mtoto alipozaliwa ni kama nimejitoa photocopy namlea had leo lakin hata baada ya hapo hakuna kilichoendelea...nilikuwa nawaza baada ya hili swala ni makuz ya mtoto na if huyo baba atakuwaje...sina kipingamiz na hiyo ndoa sababu sikuwa na mpango wa kuoa ila mimi nawaza tu maisha ya mtoto baba ake jipo sijamkataa wala kutelekeza..kwa uaonde wangu alijali ndoa hakumfukiria mtoto..ila mtoto anakuwa yatima na wazazi wake wapo..!..ila Mungu anamipango yake itakuwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…