mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Mwalimu teacher anampenda mke wakoUone nini mkuu? Kandambili zinazomtesa my wife mke wangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu teacher anampenda mke wakoUone nini mkuu? Kandambili zinazomtesa my wife mke wangu?
Hebu weka picha ya matiti yake tuweze shauri uzuriBaby mama wangu kanianzia mbali sana, kanambia kuna mdada mtoto wa mjini amemtafuta anauza dawa za kusimamisha matiti.
Anaomba ushauri je atumie au asitumie, babymama wangu huyu yeye ana mtoto mmoja tu.
Anasema anahisi nina msaliti kisa amenyonyesha hivyo matiti yamepunguza mvuto!
Ni kweli huwaga tunapishana hapa na pale akinituhumu nina msaliti, lakini suala la usaliti sio la leo au jana ni kabla ya kuzaa nae, kipindi icho kweli nilikuwa wamoto sana!
Swali najiuliza je kwanini iwe leo hili suala la kusimamisha matiti liambatane na usaliti na sio miaka hiyo kabla ya kuzaa mind you kabla ya kuzaa tumewahi kutofautiana akinituhumu kuwa namsaliti lakini halikuletwa suala la kusimamisha matiti! WHY TODAY....!?
Nikampiga maswali matatu matakatifu, swali la kwanza, umejuaje kuwa matiti uliyonayo sasa baada ya kuzaa mtoto mmoja sivutiwi nayo!?? Swali la pili umejuaje kuwa ninakusaliti kwasababu ya matiti!?? Swali la tatu una uhakika gani kama ukiyasimamisha matiti sitakusaliti!??? Swali la mwisho unauhakika gani kama mimi nilikupendea matiti!???
Actually kwasasa siko nae niko nje ya nchi...!!!??
Maoni yenu wadau, Uzi tayari
Kama hana mkia ataweka kigodoro?Akisimamisha hayo manyonyo ukamcheat tena atasimamisha nini tena???
Ana ujinga mwingi sana huyo anaeitwa baby mama.....Kama hana mkia ataweka kigodoro?