Acha tu.Nawaona wanavohaha.Yani wame za watu wanapoambiwa tuzae ntalea mwenyewe,wasiamini hiyo Ni janja tu ya kuwakamata na kuwavurugia ndoa.Mjumbe unafikilisha sana kwa comment yako hii. Alafu ije itokee mtoto ana matatizo hadi ukoo utajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Man,yaani ndoa ndio tatizo?ndoa kabisa ulifunga??..Jitafakari akili sio yakoNina mpenzi tumependana vya kutosha yeye ni single mother na mimi nina ndoa na watoto. Alinishauri niishi naye nikazugazuga alivyoona hivyo akaniomba kuwa anataka mtoto na mimi. Nifanyage japo na mimi nimempenda Kiana tatizo ndoa yangu
Ukiombwa mbegu kama zipo toa, ni barakaNina mpenzi tumependana vya kutosha yeye ni single mother na mimi nina ndoa na watoto. Alinishauri niishi naye nikazugazuga alivyoona hivyo akaniomba kuwa anataka mtoto na mimi. Nifanyage japo na mimi nimempenda Kiana tatizo ndoa yangu
He doesn't have his priorities straight, hajitambui.Wewe ni wa ajabu sana, unasema tatizo ni ndoa yako!!!!, huyo mwanamke ndio tatizo kwenye ndoa yako.
Kabisa hajitambui, ajitafakari upya kama alilazimishwa kufunga ndoa au aliamua mwenyewe. Na akaulize nini maana ya ndoa.He doesn't have his priorities straight, hajitambui.