Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Ndiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulimdhamini eeeh....
Usiwe na presha relax, hio haina shida mkuu.Ndiyo
Nashukuru mkuu..Usiwe na presha relax, hio haina shida mkuu.
Heading sikuielewa Ila mada nimeielewa, mdhamini tu haina shida yoyote, au nenda benki husika kawaulize majanga anayoweza kukutana nayo mdhaminiHabarini,
Naomba kuuliza kwa wajuvi wa mambo ya uwakala wa Bank mfano kama CRDB, NMB n.k,
Kuna jamaa namfahamu anajishughulisha na Tigo Pesa na M-Pesa, akajiongeza na kwenda kuomba kuwa wakala wa Bank, akapewa fomu na baadhi sehemu zinahitaji udhamini hivyo akaomba nimdhamini kwaa ajili ya hiyo.
Hivyo nina wasiwasi juu ya hilo, naomba mnipe elimu kidogo juu ya hilo.
Naamini nitafahamishwa vyema.
Nawasilisha.
Tena mashine zenyewe hapati bure, mfano crdb ni jiwe3 non refundable hata wakija kupora mashine yaoUdhamini ni kwasababu ya zile mashine tu hakuna cha ziada kwasababu bank hawampatii fedha bali wanampatia mashine tu.