Anataka nimfanyie!!

Anataka nimfanyie!!

fabinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
3,042
Reaction score
2,221
asalaamu!naandika sredi hii nikiwa na mtetemo wa mkono!naomba tumsaidie tafadhali!ni rafiki yangu sana kitambo sasa,tulisoma wote olevel na baadaye chuoni miaka adhaa iliyopita,huwa tunawasiliana na kutembeleana kwani tunakaa mikoa tofauti!ni kijana wa miaka 29,ameoa na baba wa mtoto mmoja!amenieleza kuwa hafurahii kabisa tendo la ndoa na mkewe na sasa anataka afanyiwe yeye,ameniteua mimi kuwa wake wa kwanza katika dhamira yake hiyo na hisia za ushoga zimemshinda kwani amejizuia mwaka wa 2 sasa nahatorudi nyuma hata kama nikikataa!!
Wadau,mimi siwezi asilani na sitaki aende huko,roho yaniuma kupita maelezo,naombeni mawazo nimsaidiaje?
 
Inabidi akaombewe Shetani anamkaribia. Mpingeni Shetani naye atawakimbia ndivyo inavyosema Biblia. Na vita dhidi ya shetani si vya kimwili ila ni vya kiroho sasa yeye amejaribu kutumia nguvu za kimwili. Kwa msaada zaidi soma Waefeso 6:10 - 18.
 
He? Makubwa,.
Mwambia aende kwa pyschologist, i thnk ana matatizo kwenye mind,
ni kitu alichokuwa anawaza siku nying, so kimemtokea..
Nadhan ajaribu ku balance brain yake...
 
sijaelewa kitu
ina maana huyo kaka ni s.ho.g.a?
Na anataka kurudi us.h.o.g.a.n.i?
 
asalaamu!naandika sredi hii nikiwa na mtetemo wa mkono!naomba tumsaidie tafadhali!ni rafiki yangu sana kitambo sasa,tulisoma wote olevel na baadaye chuoni miaka adhaa iliyopita,huwa tunawasiliana na kutembeleana kwani tunakaa mikoa tofauti!ni kijana wa miaka 29,ameoa na baba wa mtoto mmoja!amenieleza kuwa hafurahii kabisa tendo la ndoa na mkewe na sasa anataka afanyiwe yeye,ameniteua mimi kuwa wake wa kwanza katika dhamira yake hiyo na hisia za ushoga zimemshinda kwani amejizuia mwaka wa 2 sasa nahatorudi nyuma hata kama nikikataa!!
Wadau,mimi siwezi asilani na sitaki aende huko,roho yaniuma kupita maelezo,naombeni mawazo nimsaidiaje?

Kama nimeku-quote vizuri hapo juu ni kwamba wewe ndo utakuwa wa kwanza kumfumua...kama ni hivyo then mshauri akaonane na psychologist haraka iwezekanavyo,maana kale kamchezo akikaanza hata kaacha. na hapo amekuambia wewe ambae huna huo mchezo usipomshauri hivyo haraka then atapata mshauri mwingine ambae atam-direct kwa mtaalam wa huo mchezo then kwisha habari yake...
 
Ukistaajabu ya Musa ...........
 
Ni hisia tu kama vipi aonane na mtaalam wa saikologia kwani kufanya hivyo ni kuruhusu kuharibikiwa jumla
 
LOH! mungu atustiri na balaaa kama hilo, mbona inaelekea kama huyo bwan alijipa likizo tuu lakini ndio raha zake huo mchezo.....
 
asalaamu!naandika sredi hii nikiwa na mtetemo wa mkono!naomba tumsaidie tafadhali!ni rafiki yangu sana kitambo sasa,tulisoma wote olevel na baadaye chuoni miaka adhaa iliyopita,huwa tunawasiliana na kutembeleana kwani tunakaa mikoa tofauti!ni kijana wa miaka 29,ameoa na baba wa mtoto mmoja!amenieleza kuwa hafurahii kabisa tendo la ndoa na mkewe na sasa anataka afanyiwe yeye,ameniteua mimi kuwa wake wa kwanza katika dhamira yake hiyo na hisia za ushoga zimemshinda kwani amejizuia mwaka wa 2 sasa nahatorudi nyuma hata kama nikikataa!!
Wadau,mimi siwezi asilani na sitaki aende huko,roho yaniuma kupita maelezo,naombeni mawazo nimsaidiaje?

Na alaaniwe yeyote afanywae na afanyae kinyume na maumbile. Kwa kweli kama una mategemeo mazuri ya kwenda Mbinguni usijaribu hata kufikiria kufanya kitendo kama hicho
 
He? Makubwa,.
Mwambia aende kwa pyschologist, i thnk ana matatizo kwenye mind,
ni kitu alichokuwa anawaza siku nying, so kimemtokea..
Nadhan ajaribu ku balance brain yake...

acha mwili useme!
Nina maana kuwa mume au mke sio kwasababu una viungo vya uzazi vya kiume au kike,ni ZAIDI YA HAPO!
 
asalaamu!naandika sredi hii nikiwa na mtetemo wa mkono!naomba tumsaidie tafadhali!ni rafiki yangu sana kitambo sasa,tulisoma wote olevel na baadaye chuoni miaka adhaa iliyopita,huwa tunawasiliana na kutembeleana kwani tunakaa mikoa tofauti!ni kijana wa miaka 29,ameoa na baba wa mtoto mmoja!amenieleza kuwa hafurahii kabisa tendo la ndoa na mkewe na sasa anataka afanyiwe yeye,ameniteua mimi kuwa wake wa kwanza katika dhamira yake hiyo na hisia za ushoga zimemshinda kwani amejizuia mwaka wa 2 sasa nahatorudi nyuma hata kama nikikataa!!
Wadau,mimi siwezi asilani na sitaki aende huko,roho yaniuma kupita maelezo,naombeni mawazo nimsaidiaje?

funga na kuomba kwa ajil yake! Kemea hlo ni pepo! Tena anahtaj ushaur nasaha, tafuta m2 mwenye fan ya kushaur uende nae kwake! Ni mkoa upi il km vp nkakusaidie kumpa canceling coz nmepata course hyo Tumain unvr, Makumira. Am ril serious.
 
haya sasa, mlimzodoa cameroon sasa jasho linawatoka. hawa watu wapo banaa, kaa nae mbali na hakikisha haku-seduce.
lakini anahitaji msaada wa kiroho na kiakili pia:shock:
 
asalaamu!naandika sredi hii nikiwa na mtetemo wa mkono!naomba tumsaidie tafadhali!ni rafiki yangu sana kitambo sasa,tulisoma wote olevel na baadaye chuoni miaka adhaa iliyopita,huwa tunawasiliana na kutembeleana kwani tunakaa mikoa tofauti!ni kijana wa miaka 29,ameoa na baba wa mtoto mmoja!amenieleza kuwa hafurahii kabisa tendo la ndoa na mkewe na sasa anataka afanyiwe yeye,ameniteua mimi kuwa wake wa kwanza katika dhamira yake hiyo na hisia za ushoga zimemshinda kwani amejizuia mwaka wa 2 sasa nahatorudi nyuma hata kama nikikataa!! Wadau,mimi siwezi asilani na sitaki aende huko,roho yaniuma kupita maelezo,naombeni mawazo nimsaidiaje?
huyo type za kina camerun na alaaniwe
 
huyo ndugu yake na camerun nn ni wa kumchapa viboko coz tabia zingine za kuendekeza 2
 
Back
Top Bottom